KUTUNUKU VYETI WAHITIMU WA DARASA LA LUGHA YA ALAMA Comments: 0

image

Author names: Denice Shumbusho saved date: 2025-20-02 at 13:02

Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Karagwe Mch Jeremiah Rugimbana ambaye amekuwa mgeni rasimi katika tukio la kuhitimisha darasa la Lugha ya alama lililofanyika Hapa nyakahanga hospitali.Huu nimpango mkakatiwa dayosisi ya karagwe wa kuwapa mafunzo watumishi wa hospitali ya nyakahanga ili kuwezeza kutoa huduma sahihi kwa walemavu wa usikivu(viziwi).Darasa hili ndilo la kwanza tangu kuanzishwa kwake nalo limedumu kwa miezi mitatu.

Adding form af a comment
Cancel

Lasts news/event

See all news / events

Contact info

DOCTOR IN CHARGE
NYAKAHANGA DESIGNATED DISTRICT HOSPITAL
PO BOX 110, KARAGWE VIA BUKOBA, KAGERA

Phone +255 767 084 362/ +255 787 663 565 (Medical officier Incharge)
+255 756 069 466/ +255 622 736 736 (Hospital Secretary)