Bw Sylidion P. Karugaba akipokea cheti cha Mfanyakazi Hodari katika viwanja vya Posta Ngar...
Author names: Vivian Iromba saved date: 2025-06-05 at 14:05
Kwa mara nyingine tena Hospitali ya Nyakahanga imepata mfanyakazi hodari Bw Sylidion P. Karugaba ambaye amewakilisha Hospitali kwenye sherehe za Mei Mosi zilizofanyika Ki mkoa kule wilayani Ngara. Bw Sylidion amepenyeza kwenye mchuano mkali ambapo kila Idara ilipendekeza jina la mfanyakazi bora na kuwasilisha jina hilo kwenye Uongozi wa Hospitali ambapo walipiga kura na kumpata mfanyakazi Hodari wa mwaka 2025.
Bw Sylidion P. Karugaba akipokea cheti cha Mfanyakazi Hodari katika viwanja vya Posta Ngar...
Kwa mara nyingine tena Hospitali ya Nyakahanga imepata mfanyakazi hodari Bw Sylidion P. Ka...
Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Karagwe Mch Jeremiah Rugimbana ambaye amekuwa mgeni rasimi kati...
THE EVENT OF RETIRE FOR THE FORMER MATRON OF NYAKAHANGA HOSPITAL. A ceremony to Retire t...
Today on 17.11.2023 we were lucky to have another good session about Respiration and Princ...
Today on the 10th Nov 2923, Our Hospital Nyakahanga was blessed to have a general meeting ...