N° | File | Download |
---|---|---|
1 |
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KATIKA HOSPITALI YETU YA NYAKAHANGA Saved date: 2023-03-21 at 08:23 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KATIKA HOSPITALI TEULE YA NYAKAHANGA. Uongozi wa Hospitali ya Nyakahanga unapenda kuutangazia umma uwepo wa nafasi za kazi, Leo tarehe 14 March 2023. Hivyo, Mganga mkuu wa Hospitali Teule ya Wilaya Karagwe - Nyakahanga, kupitia kibali cha ajira mbadala kilichotolewa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Raisi, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, chenye Kumb. Na.FA.10/128/01"M"/75 kilichotokea tarehe 27/02/2023, anawatangazia wananchi wote wenye sifa za kuajiriwa katika kada zifuatazo:- 1. AFISA MUUGUZI MSAIDIZI DARAJA LA II (ANO) - Nafasi mbili (2) 2. MTEKNOLOJIA (MIONZI) II - Nafasi moja (1) 3. NURSE II (Muuguzi Daraja la ii) Nafasi mbili (2) 4. MTEKNOLOJIA (Dawa) II - Nafasi moja (1). Barua ya tangazo hili la ajira imeambatanishwa. Tafadhari kwa waombaji wote jitaidi kupakua tangazo hili kwenye website yetu kwa taarifa zaidi. |
Download |
2 |
ELCT Nyakahanga Hospital - Five Years Strategic Plan Saved date: 2021-08-09 at 09:20 |
Download |
3 |
ANNUAL REPORT 2018 Saved date: 2020-10-01 at 19:53 |
Download |
4 |
Test Report Saved date: 2020-10-01 at 17:26 This is just a test report in pdf |
Download |